Jumatatu, 1 Januari 2018

FADHILA ZA KUSEMA LAA ILAAHA ILLA LLAH

Amesema mtume (s.a.w) kuwa: " atakalosema mja LAA ILAAHA ILLA LLAH kwa nafsi iyo takata (kufanya kwa ajili ya Allah) basi atafunguliwa milango ya mbinguni (kwa ile dhikir aliyoisema) mpata kwenye arsh ( na itamshuhjdilia na kumuombea shifaa msemaji hiyo dhikir). ( yote haya hufanyika) wakatiambal mtu huyu amejielusha na madhambi makubwa. ( amepokea tirmidh kwa sanad hasan sahih).
Hapa kuna mambo machache yapasa tuyazingatie
1. Baada ya kutaja dhikr ya Laa ilaaha illa Llah milango ya mbinguni huwa wazi kisha dhikir ile hupanda mpaka kwenye arsh ya Allah.
2.Dhikri hii ikiwa kwenye arsh itamshududilia aliyeisema mbele ya Allah na kumtakia shifaa.
3. Mambo yote haya hufanyika maka mtajaji dhikri amejiepusha na madhambi makubwa na pia inashurutishaa awe na ikhlas.



VIDEO MUHIMU ZA DINI
1.Wajuwe Malaika na kazi zao
2.Pambana na maradhi na udhibiti afya yako
3.Hili ndio dhambi kubwa