Jumapili, 29 Machi 2020

VYAKULA VYA VITAMINI E NA FAIDA ZAKE MWILINIVYAKULA VYA VITAMINI E
Vitamini E ni vimegunduliwa mwaka 1922, na Herbert Mclean Evans na mwenzie Katharine Scott Bishop. Tunaweza kupata vitamini E kwenye vyakula vifuatavyo:-

Tunaweza kupata vitamini E kwenye
 1. Nyama
 2. Samaki
 3. Mapalachichi
 4. Korosho
 5. Karanga
 6. Alizeti
 7. 7. Viazi vitamu
 8. Spinachi
 9. Mayai
 10.  Maziwa
 11. Maini


Vitamini e ndani ya miili yatu vinafanya kazi ya
1. Utengenezwaji wa utando wa seli na utando kwenye maeneo mengine ya mwili kama neva
2. Husaidia katia kukuaji mzuri wa misuli
3. Husaidia katika kupunguza athari mbaya za kemikali ndani ya miili yetu.

Upungufu wa vitamini E hutokea mara chache sana, lakini unaweza kusababisha matatizo kwenye ubongo na mfumo wa fahamu, matatizo kwenye macho na kupelekea kutokuona vyema. Pia unaweza kupelekea matatizo kwenye ukuaji wa misuli na pia kupelekea udhaifu wa misuli hasa kadri umri unavyokwenda mbele.

Makala nyingine kwa ajili yako: