Kila Tiba kati ya zifuatazo ni yenye kujitegemea.Chagua
iliyo rahisi kwako.Isipokufaa ndipo uchague nyengine.
TIBA 1:
Tengeneza juisi ya karoti glasi 1 (200ml).Changanya habbat
saudai ya mafuta kijiko kimoja cha chai (5ml).
Kunywa dawa hii kutwa mara tatu (13) kwa
muda wa siku (10-21).