Kila Tiba kati ya zifuatazo ni yenye kujitegemea.Chagua
iliyo rahisi kwako.Isipokufaa ndipo uchague nyengine
TIBA 1:
Tafuta glasi 1 (250ml) ya asali.Weka matone 10 ya habbat saudai.Changanya na kijiko kimoja (10ml) cha unga wa ganda la komamanga.
Mgonjwa atakunywa dawa hii kutwa mara 1 (11) kwa muda wa
siku 60 mfululizo.
Ni bora kutumia Â
dawa hii asubuhi mapema kabla mgonjwa hajakula chochote.
TIBA 2:
 Chukua kopo moja (1Ltr) la maji safi changanya kijiko
kimoja kidogo (5ml) cha bizari ya pilau (uzile) na kijiko kidogo (5ml) cha unga
wa haba soda.
Chemsha halafu iwache ipoe.Kunywa kikombe kimoja cha chai
(200ml) kila siku (11) kabla ya kulala.
Tahadhari;usitumie vitu kama kahawa,pilipili na vitu
vyengine vyote vikali
REFERENCE