FORM TWO MATHEMATICA ni Apps iliyoandaliwa kwa ajili ya kuwapa wanafunzi wa somo la hesabu mwangaza juu ya maswali mbalimbali na kuwaandaa kufanya vizuri kwenye mtihani wao wa taifa.
Kudownload Apps hii fuata link bofya hapa kudownload . Apps hii hapa utaidownload kama faili la APK. unachotakiwa kufanya ni kufuata hatua hizi ili kuiweka kwenye simu yako.
1.Download Apps kwa kubofya link ya hapo juu kisha fungua faili baada ya kumaliza kudownload.
2.Bofya faili lako kuinstall
3.Bofya OK au ACCEPT inategemea na simu.
4.Kama simu ikikataa kuinstal nenda kwenye setting kisha weka tick kwenye UNKNOWN SOURCE. Kisha rudi kwenye faili lako na bofya kuinstall.
5.ukimaliza ingia kwenye App za Simu yako utakutana na App yenye pic hiyo ya mduara hapo juu.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa +255712939055
Unaweza kupata Apps zetu nyingine kwenye ukurasa mkuu Bofya hapa
Unaweza kupata Apps zetu nyingine kwenye ukurasa mkuu Bofya hapa