Jumapili, 21 Januari 2018

JITIBU KWA MUAROBAINI (sehemu ya kwanza)

Waswahili husema "MUAROBAINI HUTIBU MAGONJWA AROBAINI" japo sina ushahidi wa kukubaliana na wazo hili ila naamini mti huu ni tiba nzuri kama walivyotumia mababu zetu karnr kadhaa kabla ya kuja kwa dawa za kisasa.
Miongoni mwa matumizi haya mti huu unatibu magonjwa mengi . Tazama video hii upate faida na wewe mwenzangu shea kwa uwapendao uwakinge na maradhi>> video hii itaendelea wakati ujao ikionesha namna ya kuandaa dawa ya kutibu macho kwa kutumia muarobaini. Uhikose kuungana nasi katika muendelezo wa somo hili. unaweza kupata update zetu kama ukisubscribe youtube channel yetu au ukiwa na android app zetu.

>> fuata link zifuatazo ili uweze kupata update zetu.
>>> Bofya hapa kuungana nasi youtube ili upate video zetu nyingine

>>> Bofya hapa kupata masomo zaidi ya afya ukiwa na app yetu

>>> Ungana nami kwenye FACEBOOK

>>> Bofya hapa kupata yanayojiri katika blog hii