Jumatatu, 4 Mei 2020

DALILI ZA FANGASI WA SEHEMU ZA SIRI KWA WANAUME


  1. FANGASI WA SEHEMU ZA SIRI DALILI ZAO KWA WANAUME
  2. Kuvimba kwa kichwa cha uume
  3. Kuwasha kwa sehemu za siri, hususan kichwa cha uume
  4. Uume kuwa mwekundu kwa kuchubuka ama kuvumba ama kwa mashambulizi ya fangasi hawa.
  5. Kuota kwa mapele na maruturutu kwenye uume
  6. Kuwasha uume ama kuungua moto kwa uume.
  7. Kutokwa na majimaji meupe kwenye uume, majimaji haya huwa na harufu mbaya.
  8. Maumivu wakati wa kukojoa na kufanya tendo la ndoa.Ukufahamu zaidi? Bofya maandishi ya bluu hapo chinihttps://bongoclass.com/afya-ya-uzazi/fangasi.html