- FANGASI WA SEHEMU ZA SIRI DALILI ZAO KWA WANAUME
- Kuvimba kwa kichwa cha uume
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo HADITH. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo HADITH. Onyesha machapisho yote
Jumatatu, 4 Mei 2020
DALILI ZA FANGASI WA SEHEMU ZA SIRI KWA WANAUME
Jumapili, 26 Aprili 2020
HIZI NDIO KAZI ZA PROTINI MWILINI
KAZI ZAPROTINI NA VYAKULA VYA PROTINI MWILINI
Kwa kuwa sasa tunajua vyanzo vya protini sana ni vyemna tukaziona kazi za protini ndani ya miili yetu. Waandishi wengi wamekuwa wakiandika kazi za protini, na kuziorodhesha katika kazinyingi. Lakini katika makala hii itakuletea kazi zilizo kuu za protini.
Kazi za protini mwilini:-
- Kujenga mwili;
- Kupona kwa vidonda na majeraha
- Kutengeneza antibody (kinga za mwili)
- Kutengeneza hemoglobin (chembechembe zaseli nyekundu za damu)
- Kutengeneza enzymes zinatumika katika kumeng;enya chakula
- Kutengeneza homoni
- Kuthibiti kichakati na shughuli za ndani ya seli
- Huhusika katika kutengeneza tishu (nyama na misuli) ndani ya mwili
- Nywele, kope, nyusi, vinyweleo na kucha hutokana na rotini
Ijumaa, 17 Aprili 2020
Maajabu ya Cheetah mnyama anayekwenda mbio zaidi kuliko wanyama wote nchi kavu.
Maajabu ya Cheetah mnyama anayekwenda mbio zaidi kuliko wanyama wote nchi kavu.
Huyu ni katika wanyama jamii ya paka, na anafanana zaidi na mnyama anayeitwa puma. Cheetah ni mnyama mwindaji kama walivyo chui, simba na mbwa mwitu. Ijapokuwa cheetah wanafanana kwa sura na maumbile lakini unaweza kutofautisha mmoja kwa mwingine kwa kutofautisha rangi za kwenye mikia yao.
Jumapili, 17 Novemba 2019
DALILI KUU 5 ZA MWANZO ZA UJAUZITO (MIMBA)
DALILI KUU ZA MIMBA (UJAUZITO)
Watu wengi sana wamekuwa wakilalamika kuwa mimba zao zinatoka, ama kupotea bila ya kujulikana tatizo wala bila ya kuugua. Wapo wengine wanakujakujitambua ujauzito ukiwa na miezi kadhaa. Sasa ni zipi hasa dalili za ujauzito?. huenda swali hili kwa wanawake walio wengi lisiwe na manufaa kwao kwani tajari ni wajuzi wa swala hili. Halikadhalika wanaume wengi wanaujuzi pia. Kwani wengi wanaelewa kuwa dalili ya ujauzito ni kukosekana kwa siku za mwanamke yaani hedhi kwa vipindi zaidi ya kipoja. Lakini itambulike kuwa hii sio dalili pekee, kwani siku zinaweza kukosekana na isiwe mimba. Katika makala hii tutakwenda kuonesha kwa utani dalili kadhaa za ujauzito.
Kabla ya kiziona dalili hizo ningependa kutumia muda kidogo kueleza tatizo la kukosa kwa hedhi. Hedhi ni muhimu kwa kila mwanmke ambaye amefikia umri wa kupata ujauzito. Afya ya mwanmke huyu huwa salama kama hedhi yake ipo salama. Kwa kawaida hedhi huweza kukatika yaani kukata kutoka kabisa pindi umri wa mwanamke unapokuwa mkubwa yaani kuanzia miaka ya 45 na kuendelea. Katika kipindi hiki mwanamke huyu kupata tatizo la kutokupata siku zake ni la kawaida sana, ama siku zake kutokuwa na mpangilio maalumu.
Jumanne, 24 Julai 2018
Jumatatu, 16 Julai 2018
Jumatano, 13 Juni 2018
DUA ZA KUONDOA WASIWASI, SIHIRI NA UCHAWI NA VITIMBI VYA SHETANI
DUA ZA KUONDOA WASIWASI, SIHIRI NA UCHAWI
Sifanjema zinastahiki kusifiwa Allah Mola wa ulimwengu. Salana Salamu zimuendee kipenzi cha umma huu Mtume Muhammah (s.a.w). huu ni mwendelezo wa Darsa za Dua ambapo tutajifunza Kuhusu Dua za kujikinga dhidi ya uchawi, mashetani, vijicho pamoja na kuzikinga mali zetu na familia zetu. Tunamuomba Allah atupe Afya na uzima katika kulitekeleza hili. Pia unaweza kuzipata Darsa hizi bila ya kuhitajia intanet ukiwa na program yetu ya simu (Android App). unaweza kuidownload kutoka Playstore au kuapdate kwa wale ambao dua hizi hazipo kwenye toleo la zamani kwa kubofya hapa. Unaweza pia kusoma darsa nyenginezo kwa kubofya link zifuatazo;-
1.Darsa za funga bofya hapa
2.Darsa za Dua bofya hapa
3.Mafunzo ya tajwid (kusoma quran) bofya hapa
4.Quran Juzuu 'Amma bofya hapa
Ijumaa, 17 Februari 2017
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)


