Jumanne, 24 Julai 2018

TAMSYA




TAMSYA ni jumuiya ya vijana na wanafunzi Tanzania. Hii ni Apps iliyoandaliwa kwa ajili ya kuonesha mengi kuhusu Tamsya. Ungana na vijana wenzio sasa ujue nini wanafanya.


Kudownload Apps hii fuata link bofya hapa kudownload . Apps hii hapa utaidownload kama faili la APK. unachotakiwa kufanya ni kufuata hatua hizi ili kuiweka kwenye simu yako.

1.Download Apps kwa kubofya link ya hapo juu kisha fungua faili baada ya kumaliza kudownload.
2.Bofya faili lako kuinstall
3.Bofya OK au ACCEPT inategemea na simu.
4.Kama simu ikikataa kuinstal nenda kwenye setting kisha weka tick kwenye UNKNOWN SOURCE. Kisha rudi kwenye faili lako na bofya kuinstall.
5.ukimaliza ingia kwenye App za Simu yako utakutana na App yenye pic hiyo ya mduara hapo juu.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa +255712939055

Pia unaweza kuangalia Apps hii bila ya kuidownload Bofya hapa.
Unaweza kupata Apps zetu nyingine kwenye ukurasa mkuu Bofya hapa