Juisi-Sharbati
Juisi ya
Kuua Toksini (Athari Za Sumu) - Detoxifying
Vipimo
Majani ya
Kale (kale leaves) - 3
Brokoli
pamoja na miche yake - ½ msongo
Kabeji
iliyokatwa pamoja na zizi lake - ½
Nyasi majani
(fennel) -1
Tufaha
(apples) - 2
Majani Ya Kale
Namna Ya
Kutayarsiha
Katakata
vitu vyote vipand weka katika bakuli
Tia katika
mashine ya kukamua juisi, washa mashine ikamue juisi.
Mimina
katika gilasi ikiwa tayari kunyiwa
Kidokezo:
Juisi hii ni
ya kuondosha athari za sumu (toxins) zinazokusanyika mwilini na kusababisha
maradhi mbali mali. Kutumia kwake kila baada ya muda kunasaidia kusafisha damu
na kumihifadhi mtu na athari za sumu.
REFERENCE
click here
REFERENCE
click here