Jumamosi, 3 Machi 2018

TANGAZO MUHIMU

    KWA WATUMIAJI WA SIMU ZA ANDROID (SMART PHONE)

Mahede Soft Tools inakuletea orodha ya huduma muhimu kwa ajili ya simu yako. hizi ni program za simu za android (android application). ambazo unatakiwa uwenazo.

usipitwe tena na mambo muhimu kama haya. fata link kwa kubofya maandishi hapo chini na ufungue link kupitia playstore.
ufa nyingi kwa ajili yako zitakuja hivi punde hivyo usiwe mali na blog hii.

Jifunze mengi kuhusu Afya yako kwa lugha ya kiswahili  bofya hapa kupata mafunzo mengi yahusuyo afya ukiwa na App yetu.

Soma hadithi ya alif lela u lela kwenye simu yako ya kiganjani bafya hapa kusoma bila malipo ukiwa na App yetu.

Jifunze mengi kuhusu vyakula na madhara yapatikanayo kutokana na ulaji mbovu. Bofya hapa kupata App yetu.

Je! unataka kujuwa maneno ya kiingereza yanavyo tamkwa. TTS ni program ya android inayweza kukusaidi. Bofy hapa upate app yetu.

Je! unafahamu maneno mengi ya kiingereza na unataka kujipima. english game itakusaidia Bofya hapa kucheza game hii.

Ukitaka kujuwa mengi kuhusu jamii, elimu, dini na taaluma nyingine nyingi ungana nasi kupata yanayojiri popote ulipo ukuwa na program yetu. Bofya hapa kupata mengi zaidi.

Tamsya ni jumuiya ya vijana na wanafunzi Tanzania. inafanya program nyingi zikiwemo za ujasiria mali, ushauri kwa vijana na wanafunzi, makongamano na kutowa huduma za kijamii. usipitwe sasa na yanayofanywa na vijana hawa. Bofya hapa kuungana na vijana wenzio Tanzania.