Jumanne, 23 Oktoba 2018

SAFARI 7 ZA SINBAD


SAFARI 7 ZA SINBAD : ni App iliyosheheni visa na na mikasa pamoja na mtukio ya kusisimua. Hii ni hadithi inayozungu maisha mazima ya Sinbad yaliyozungurukwa na safari 7 za kusisimua. Pata App hii sasa ufurahie kusoma hadithi hizi.


Kudownload Apps hii fuata link bofya hapa . Apps hii hapa utaidownload kama faili la APK. unachotakiwa kufanya ni kufuata hatua hizi ili kuiweka kwenye simu yako.

1.Download Apps kwa kubofya link ya hapo juu kisha fungua faili baada ya kumaliza kudownload.
2.Bofya faili lako kuinstall
3.Bofya OK au ACCEPT inategemea na simu.
4.Kama simu ikikataa kuinstal nenda kwenye setting kisha weka tick kwenye UNKNOWN SOURCE. Kisha rudi kwenye faili lako na bofya kuinstall.
5.ukimaliza ingia kwenye App za Simu yako utakutana na App yenye pic hiyo ya mduara hapo juu.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa +255712939055

pia unaweza kuangalia App hii bila ya kuidownload Bofya hapa.
Kupata Apps zetu zaidi tembelea ukurasa wetu mkuu Bofya hapa

Yote haya ma mengine mengi utayapata kwenye tovuti yetu bofya hapa

Je na wewe ni muandishi wa hadithi au makala za kuelimisha na unataka kupata pesa kupitia kazi yako?? wasiliana nasi sasa upate mchongo kamili bofya hapa