Jumatano, 27 Mei 2020

HII NI TIBA YA KISUKARI KWA KUTUMIA BAMIA

Kisukari ni katika maradhi yanayiwapata watu wengi leo duniani. Mamia ya watu yanapoteza maisha kwa maradhi haya. Wataalamu wa afya wanajitahudi kutafuta dawa. Leo nitakuletea tafiti iliyifanywa katika panya.

Tafuti hii ni katikati harakati za kutafuta dawa dawa ya kisukari. Kisukari kimekuwa ni katika maradhi ambayo bado hayana dawa.

Mwaka 2011 tafiti za kisayansi zilikuwa zikichunguza athari ya bamia kwa wenye kisukari. Wataalamu walitengeneza poda kutokana na maganda ya bamia na mbegu zake. Kisha wakatumia katika kutibu kisukari kwa panya kama majaribio. Panya huyu alikuwa na tatizo la sukari ya kushuka. Matokeo haya yakaleta athari chanya. Hivyo inashauriwa kwa wenye kisukari kutumia sana bamia.