MAMBO 3 YANALETA MARADHI KTK MWILI.
1-Maneno mengi.
2-Kulala saana.
3-Kula sana.
-------------------------------------
🎾 MAMBO 4 YANADHOOFISHA MWILI
1-Kufikiria sana.2-Kuhuzunika.
3-Kukaa na njaa. 4-Kukesha.
-------------------------------------
🎾 MAMBO ma 4 YANAFAFANYA USO UWE NA BASHASHA .1-Kumcha Allah. 2-Kujitosheleza.3-Ukarimu.
4 - Uwe mtu Muruwa.
-------------------------------------
🎾MAMBO 4 YANALETA RIZKI.
1-qiyamu ley.
2-Kukithirisha istighfar hasa wakati wa usiku sana.
3-Kutekeleza ahadi.
4-kufanya adhkar mwanzo wa Siku na mwisho wa Siku.
-------------------------------------
MAMBO 4 YANAZUIA RIZKI.
1-Kulala wakati wa asubuhi.
2-Kutoswali.
3-Uvivu.
4.Kua na khiyana.
-------------------------------------